Saturday 23 August 2014

MAKOSA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE WENGI KWENYE CHUMBA CHA DAKTARI

Haya ni makosa ambayo wasichana na wanawake wengi huyafanya mara nyingi wanapokuwa katika chumba cha daktari na hivyo kusabbisha ugumu kwa matibabu yao. Yasome kwa makini kama ushawahi kuyafanya au kukutana nayo yaepuke.

  • Kufanya tafiti nyigi juu ya magonjwa yao, hili ni jambo zuri kwa afya zao ili inaweza kuwa tatizo asa anaposoma mambo mengi na kutembelea hosipitali nyingi kwa tatizo lilelie.  Hii usababisha wanawake kutatizwa na kuwachanganya mbele ya daktari asa pale anapochunguzwa na kugundulika na tatizo ambalo hakulisoma au kuambiwa kwa daktari wa kwanza na kuona hayana maana hivyo kuama na kwenda hospitali nyingine.
  • Kutokujieleza vizuri na kuuliza maswali, hii uchangiwa nauoga ambao upelekea wanawake kuingia na mtu wa kumsindikiza au kumsaidia kueleza tatizo lake au kumuuliza maswali kuhusu afya na tatizo lake.
  • Kutawaliwa na hisia au wasi wasi, hii usababisha uogo, hisia au kulalamika pale wanapofanyiwa uchunguzi au vipimo vinavyohusiana na maumbile yao.
  • Kutafsiri na kujitibu dalili zao wenyewe, ukweli wa mambo ni kwamba ni raisi kwa mwanamke kuingia katiaka chumba cha daktari na kumwambia naumwa ugonjwa flani bila kutaja dalili kwanza. Hii umfanya kuona kama utambuzi wa daktari ni uongo na tofauti na hivyo kufanya matibabu kuwa magumu.
  • Kutoamini siri iliyopo kati ya mgonjwa na daktri, uwafanya kutumia utambulisho bandia kama majina, umri, ,makazi kwa hofu kuwa daktari anaweza kuwaambia ndugu, jamaa na marafiki kuhusu tatizo.
  • KAMA UNAISI KUNA KOSA LIMESAHAURIKA TUSHIKISHE KWENYE COMMENT CHINI AU WASILIANA NASI Facebook.

No comments:

Post a Comment

.