Friday 15 August 2014

UNENE UNAWEZA KUKUSABABISHIA SARATANI ZIFUATAZO

Unene kupita kiasi ni hatari sana na unaweza kukuweka katika hatari ya kupata saratani zifuatazo kwa kila kilo 13-16 zinazoongezeka katika mwili wako
  • Saratani ya mfuko wa uzazi
  • Saratani ya mlango wa kizazi
  • Saratani ya nyongo
  • Saratani ya figo na kibofu
  • Saratani ya tezi ya thairoidi
  • Kansa ya damu
  • Kansa ya utumbo mkubwa
  •  Saratani ya matiti.
Usikose kutembelea blog hii kujua jinsi gani unene kupita kiasi unavyohusishwa na saratani hizi na jinsi ya kupunguza na kudumisha unene wa kawaida.


No comments:

Post a Comment

.