Sunday 10 August 2014

ARSENAL YATOA ONYA KWA MABINGWA WA EPL

Ikiwakosa wachezaji wake tegemezi Per Mertesacker, Mesut Ozil  na Lukas Podolski timu ya Arsenal imefanikiwa kutoa onyo kali kwa vijna waPellegrini  baada ya kuwachakaza bao 3-0 mabao yaliyofungwa na Santi Cazorla, Aaron Ramsey and Olivier Giroud na kuwawezesha kushinda ngao ya jamii. Pamoja na kuwakosa nyota wake saba wa kikosi cha kwanza Manchester City walizidiwa karibu kila idara huku Arsenal wakitawla mchezo kwa muda wote na kufanikiwa kupata ushindi huo.

No comments:

Post a Comment

.