Wednesday 10 September 2014

KUTANA NA DAKTARI ALIYEJITOLEA FIGO MOJA KWA MGONJWA ASIYEMFAHAMU.

Dr Rita McGill ni mtaalamu wa magonjwa mfumo wa mkojo na figo (nephrologist) aliyejitolea figo yake moja kwa mgonjwa wake asiyemfahamu kutokana na kumuona akiangahika kwa muda mrefu akitumia mashine ya kuchuja damu na kuondoa sumu mwilini bila mafanikio. Ni jambo la kuigwa kwa wataalamu wetu hapa nchi.
Ungana nasi FACEBOOK kujua mengi zaidi.

No comments:

Post a Comment

.