Tuesday 2 September 2014

MAMBO YANAYOSABABISHA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA MBEGU ZA KIUME

Ni vigumu sana kugundua dalili na ishara za ukosefu au upungufu wa mbegu za kiume kwani tendo la ndoa uendelea kufanyika kawaida na kutoa shaawa zisizokuwa na mbegu za kiume au zenye upungufu ambazo usababisha utasa kwa wanaume. Yafuatayo ni mambo ambayo huweza kusababisha tatizo ili na kumfanya mweza akose ujauzito kwa muda mrefu.

1. Msongo  wa  mawazo
 2. Ulevi  kupita  kiasi na matumizi ya madawa ya kulevya.
3.Kupooza  kwa  mwili
4. Presha  na  ugonjwa  wa  kisukari.
5.Wasiwasi  katika kutekeleza   tendo  la  ndoa
6. Uoga  wa  kufanya  tendo  la  ndoa.
7.Korodani kukaa kwenye joto kali kwa muda mrefu

 8.Chango  la  kiume.
9. Kuugua  ugonjwa  wa  ngiri
10. Mazingira  yasiyoridhisha  wakati  wa  tendo  la  ndoa.
11.  Ulaji  mbovu  wa  vyakula  haswa  haswa  ulaji  wa  vyakula  vya  mafuta  kwa  wingi  kupita  kiasi.
12. Kufanya  masturbation  kwa  muda  mrefu  

13. Matatizo katika uti wa mgongo
14. Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamme. nk
Usikose kutembelea blog hii kila siku kwa maelezo na ushauri kuhusu jinsi ya kuepuka matatizo haya.

No comments:

Post a Comment

.