Wednesday 10 September 2014

TAHADHARI KWA WENYE KUNDI LA DAMU AB

Kwa mujibu wa kituo cha utafiti kutoka marekani watu wenye kundi AB la damu wanatahadharishwa kuwa katika hatari kubwa ya kupata magonjwa ya akili, kufikiri na kupoteza kumbukumbu sambamba na magonjwa ya moyo huku wale wenye kundi O likiwasaidia kuwakinga na magonjwa haya. Hata hivyo kituo hiki kinashauri njia sahihi ya kujilinda na matatizo haya ni kula lishe bora bora, kufanya mazoezi na kuepuka uvutaji sigara.
UNGANA NASI FACEBOOK USIPITWE NA MENGI ZAIDI KUHUSU AFYA YAKO.

No comments:

Post a Comment

.