Wednesday 10 September 2014

MAGONJWA HATARI YANAYOSABABISHWA NA MITINDO YA MAISHA TUNAYOISHI.

Kuna baadhi ya magonjwa ambayo yanasababishwa na mifumo au mitindo ya maisha tunayoishi ikiwa ni pamoja na uzembe, uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi na kula vyakula vya kisasa visivyo na virutubisho asilia. Haya ni baadhi ya magonjwa ambayo tunaweza kujikinga kwa kubadili mifumo yetu ya maisha.

1. Magonjwa ya moyo
2. Saratani
3. kurukwa na akili
4. Kisukari 
5. Pumu
6. Magonjwa sugu ya Ini
7. Kisukari 
9. Kuziba katika njia ya hewa (COPD)
10. Kiharusi
11. Shinikizo la damu
12. Kiharusi
Uzuri ni kwamba magonjwa haya hayaambukizi na unaweza kujikinga kwa kubadili mifumo na mitindo ya maisha kama kula lishe bora yenye matunda na mbonga za majani, kufanya mazoezi, kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya na pombe kupita kiasi
UNGANA NASI FACEBOOK KUJIFUNZA MENGI ZAIDI JINSI YA KUJITIBU NA KUJIKINGA NA MAGONJWA HAYA

No comments:

Post a Comment

.