Friday, 28 November 2014
MAZOEZI YANAWEZA KUWASAIDIA WAZEE KUTEMBEA.
Wednesday, 26 November 2014
Saturday, 22 November 2014
KWA WANAOSUMBULIWA NA CHUNUSI.
KAMA UNASUMBULIWA NA HARUFU MBAYA YA KWAPA.
MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI
Wednesday, 19 November 2014
ROBOTI KUPOTEZA AJIRA ZA WATU ZAIDI YA ASILIMIA 65
STRESS NI HATARI ZAIDI KWA WANAWAKE
Monday, 17 November 2014
KUHUSU MADAKTARI WALIOMUUA MWIZI WA SIMU.
KUHUSU KANISA LINALOPINGA UTOAJI WA CHANJO.
Hata hivyo WHO na Umoja wa Mataifa yamesema chanjo hiyo ni salama na imefanyiwa utafiti huru.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KUHUSU IMANI HII
TAMBUA MAPEMA SARATANI YA TEZI YA THAIROID (Thyroid Cancer) NA UIEPUKE.
Watu waliowahi kupigwa mionzi sehemu ya mbele ya shingo na wenye wazazi wenye tatizo ili wapo katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya saratani.
Sunday, 16 November 2014
TIBA NA MAMBO YANAYOSABABISHA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU.
kukosa choo.
(1 ) Upungufu wa vitamini
mwilini hasa vitamin B .
( 2) Maradhi ndani ya utumbo
mpana.
(3 ) Kula vitu vigumu na vikavu
kama vile vyakula vya ngano .
(4 ) Upungufu wa ulaji matunda
na mboga.
( 5) Kutokunywa maji ya
kutosha .
(6 ) Upungufu wa fibre kwenye
chakula zinazopatikana kwenye
maganda ya mahindi.
(7 ) Ukosefu wa kufanya mazoezi
ya viungo .
(8 ) Msongo wa mawazo na
kutokula vyakula vyenye nyuzi
nyuzi.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA
WASILIANA NASI KWA MSAADA
ZAIDI.
SOMA HII MUHIMU SANA KWA AFYA YAKO.
kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya
kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu
za uzazi za wanaume.
KAMA UNASUMBULIWA NA VIDONDA MDOMONI
Saturday, 15 November 2014
#BREAKING_NEWZ INASIKITISHA SANA MTOTO NURU ALIYETEKWA AUAWA KINYAMA ZANZIBAR
ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana. maeneo yakalibu na nyumba ya ya binti uyo Nuru alipokua anaishi majirani walisikia harufu kama kitu kinachomwa ndipo walipo sogea eneo la tukio na kukuta mwili wa mtoto uyo ukiwa umefunikwa kwa matofali
HIZI NI FAIDA ZA BIZARI KIAFYA KATIKA MBOGA.
Faida za Bizari
- Kuzuia saratani (Cancer)
- Kuzuia Leukemia kwa watoto
- Inasaidia kwenye kuimarisha uzalishaji mbegu za uzazi
- Inaimarisha kinga ya mwili
- Inaimarisha macho na kuyafanya kuwa na afya
- Inasaidia kuondoa mafuta yasiyo mazuri na kushusha kiwango cha kolestroli (Cholesterol)
- Inaondoa mauvimu ya viungio vya mwili
- Inasaidia utendaji kazi wa ini
- Inaimarisha chembe hai za mwili
- Inasaidia kwenye mfumo wa usagaji chakula
- Unasafisha mfumo wa damu mwilini
- Inasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini.
MAUMIVU NA KUVIMBA KATIKA SEHEMU ZA HAJA KUBWA
TAMBUA MADHARA YA KUZAMA CHUMVINI.
CHANZO NA TIBA YA KUSINYAA KWA VIUNGO VYA UZAZI
Friday, 14 November 2014
SABABU ZA KUTOKA HARUFU MBAYA UKENI NA NAMNA YA KUZUIA.
TAHADHARI KWA WANAWAKE WANAOFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
KWA WAOVAA MIWANI SOMA HAYA NA UYAZINGATIE ILI KUEPUKA UPOFU WA KUDUMU.
LISHE BORA INAYOONDOA CHUNUSI NA KUIMARISHA AFYA YA NGOZI.
MAGONJWA HATARI YATOKANAYO NA UNENE KUPITA KIASI.
TOFAUTI KATI YA TEZI DUME NA BUSHA.
KUHUSU MSANII ALIYEPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUPIGA PICHA ZA UTUPU
USICHOFAHAMU KUHUSU KUTOA USHUZI.
Kutoa ushuzi au Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi.Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa.Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen,
asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen. Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu,vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili.Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage,kabichi,soda na mayai.
Kwa Baadhi ya Tamaduni,Kujamba Sio Ishu
Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu,kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani,na pia hufurahia tendo hilo.Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani,Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya,alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku.Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.
Thursday, 13 November 2014
KUWA MAKINI NA MAZINGIRA YANAYOWEZA KUATHIRI AFYA YAKO.
Mazingira ni jambo lingine
linaloathiri afya. Iwapo maji
tunayokunjwa na kutumia ni safi na
salama, iwapo hewa tunayovuta si
chafu, maeneo tunayofanyia kazi ni
salama na pia nyumba tunazoishi,
basi afya zetu huwa salama zaidi
ikilinganishwa na watu wanaoishi
kwenye maeneo yasiyo na maji safi
na salama au kuvuta hewa chafu na
kufanya kazi kwenye mazingira ya
hatari. Uchunguzi uliofanywa na
chuo kikuu cha Zuyd nchini
Uholanzi umeonesha kwamba,
kuvuta hewa iliyochafuliwa kwa gesi
za magari kwa lisaa limoja
kunatosha kumpatia mtu mfadhaiko
wa kifikra au stress katika ubongo
wake. Utafiti mwingine uliofanywa
na chuo kikuu cha India cha Purdue
umebainisha kuwa, sumu kali
inayotokana na sumu ya risasi,
inayoweza kuiingia mwilini mwa
binadamu kutokana na kula vitu
vilivyoingiwa na sumu hiyo, nchini
Marekani huathiri maelfu ya watoto
kuliko kiwango dhaifu cha sumu
hiyo kinachoweza kuwepo katika
vifaa vya kuchezea na mapambo
yanavyosafirishwa.
Afya ya binadamu pia huweza
kuathiriwa na watu
wanaomzunguka. Iwapo una familia
unayoiangalia au marafiki katika
jamii yako, basi una nafasi kubwa ya
kuimarisha afya yako kuliko mtu
ambaye anaishi pekee au hana
familia na marafiki. Uchunguzi
uliofanywa na chuo kikuu cha
Washington nchini Marekani
umegundua kuwa, ushirikiano wa
kifamilia ni jambo zuri kwa mtu na
hupunguza kesi za atu kujiua, hasa
wale wanaopatwa na matatizo ya
mfadhaiko wa kifikra au
wanapokuwa na fikra ya kutaka
kujiua. Vilevile tamaduni, mila na
desturi za jamii na jinsi watu
wanavyozithamini itikadi hizo, zina
mafasi kubwa katika afya zao ingawa
matokeo yake huweza kuwa mazuri
au mabaya. Kwa mfano mazoea na
mila ya kuwakeketa au kuwatahiri
watoto wa kike na wanawake ina
madhara makubwa kama vile
kuongeza kiwango cha maambukizo
ya magonjwa na hata matatizo ya
kiakili miongoni mwa wasichama na
wanawake wanaofanyiwa jambo
hilo. Utafiti uliochapishwa katika
Jarida la Afya ya Jamii na Elimu ya
Magonjwa ya Mlipuko umebainisha
kuwa, wakati vijana wanapovaa
mavazi kwa mujibu wa mila na
tamaduni za makundi au makabila
yao, suala hilo huweza
kuwapunguzia uwezekano wa
kupatwa na matatizo ya kiakili
baadaye maishani.
Monday, 10 November 2014
DALILI NA VISABABISHI VYA PRESHA.
Visababishi vya presha kuwa juu ni pamoja na:-
Chuvi nyingi
Unene uliozidi
Umri mkubwa au uzee
Figo ikiwa haifanyi kazi
Historia ya ugonjwa
wapresha kwenye familia
Ugonjwa wa kisukari
Pombe na uvutaji wa sigara kupita kiasi.
Kutofanya mazoezi.
Kumbuka Mara nyingi presha haina dalili hadi ilete madhara na hivyo huitwa ( silent killer ) muuaji wa kimyakimya ila uambatana na:-
kichwa kuuma
kizunguzungu
kubanwa na pumzi
kutokuona vizuri
kichevuchevu
Kuvimba macho n.k
UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (Ovarian cyst)
mwanamke (ovary) hutokana na
mkusanyiko wa majimaji
yanayozungukwa na kuta
nyembamba ndani ya mayai ya
mwanamke. Uvimbe huu ambao
hupatikana ndani ya mayai ya
mwanamke ndio unaojulikana kama
ovarian cyst. Uvimbe huu hutokea
kwa wanawake wa umri wowote ule
DALILI ZA UGONJWA WA KIFUA KIKUU.
MAMBO YANAYOSABABISHA MKOJO KUWA NA HARUFU MBAYA.
SHERIA KALI KWA WANAOVUTA SIGARA HADHARANI.
WANAFUNZI 47 WAUAWA
MAWIGI NA NYWELE ZA KICHINA ZINAVYOSAMBAA KWA KASI
AJALI YA NDEGE ILIYOCHUKUA MAISHA YA MCHUNGAJI NA FAMILIA YAKE.
MAMA AMNYONGA MWANAE WA MIAKA MIWILI NA KUMZAMISHA ZIWA VICTORIA.
Ni kawaida sana kwa sasa kusikia mama kamuua mwanaye aidha kwa kumtupa akiwa hai ama kumuua kabisa ili aweze kupoteza ushahidi na kuendelea na mambo yake.
Huko Sengerema,Mwanza mama mmoja Magreth Martini mwenye miaka20 amenusurika kuuawa na watu wenye hasira kali baada ya kumnyonga mwanaye wa miaka miwili kisha kumzamisha katika Ziwa Victoria.
Mama huyo anatuhumiwa kuchukua uamuzi huo kwa madai ya mwanaye kumnyima muda wa kujirusha kwa kufanya mambo yake binafsi ambapo wanakijiji waliona mwili wa mtoto huyo ukielea kando kando ya Ziwa hilo huku mama yake huyo akiendelea na huduma kwenye mgahawa wa pembezoni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Valentino Mlolowa alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa baada ya kuhojiwa na Polisi alikiri kumnyonga na kumzamisha mtoto wake Ziwani.
Mtendaji wa kijiji Charles Subira alisema alifanya juhudi za ziada kuokoa maisha ya mtuhumiwa huyo toka kwa wananchi waliokua na hasira kutaka kulipiza kisasi ambapo walitaka kumuua kisha mwili wake kuuchoma moto.
Alisema awali mama wa mtoto huyo alimtelekeza mwanaye kwa jirani na siku moja kabla ya tuko alikwenda na kudai anataka kwenda naye kazini ndipo baadaye mwili wa mtoto huyo ukakutwa unaelea pembezoni mwa Ziwa Victoria.
Mganda Mfawifdhi wa Hospitali ya Buhama Eliud Bahama alithibitisha kupokea mwili wa mtoto huyo na kusema kifo chake kimetokana na kunyongwa shingoni.
LIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO KUHUSU MAMA HUYU
Sunday, 9 November 2014
UMUHIMU WA KIFUNGUA KINYWA KWA AFYA YAKO
VYANZO VYA UGONJWA WA U.T.I KWA WANAWAKE WENGI.
Friday, 7 November 2014
MADHARA YA VIATU VIREFU NA JINSI YA KUEPUKA
TIBA NA JINSI YA KUISHI NA SARATANI YA UBONGO
TAHADHARI KWA WANAOCHANGIA NGUO NA TAULO.
Tabia ya kuchangia nguo za kuvaa au taulo za kujifutia maji baada ya kuoga huchangia kwa kiasi kikubwa kueneza vimelea vya magonjwa kama kaswende, kisonono, fangasi, upele na mengine yanaweza kuambukizwa kwa urahisi kupitia njia hii ya kuchangia nguo, mavazi ya aina nyingine au matandiko. Jali afya yako epuka kuchangia nguo na taulo.
BOFYA HAPA KULIKE PAGE NA WAELIMISHE MARAFIKI.
ZINGATIA MAMBO HAYA MUHIMU KWA AFYA BORA.
Kuna sababu nyingi zinazoamua hali ya afya ya binadamu kama vile mahusiano mazuri na wengine, mazingira bora, usafi, kipato au uchumi mzuri, vinasaba vya urithi, kupata elimu na kuelimika, mila na desturi njema, tamaduni nzuri, kazi na ajira salama, mazoezi, tabia njema, jinsi tunavyodhibiti msongo na mihemuko, stadi za maisha, jinsia, mlo kamili na lishe bora, imani, huduma za afya, matumizi bora ya mionzi na mtindo wa maisha kwa ujumla. Zingatia haya kwa afya bora na LIKE PAGE NA WASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI.
UTAFITI UNAOONYESHA KUWA WANAWAKE HUFANYA KAZI KULIKO WASICHANA.
BOFYA HAPA LIKE PAGE NA TUPE MAONI YAKO
MAZOEZI MUHIMU KWA AKINA DADA NA MAMA.
Wanawake wa zamani walikuwa wakifanya shughuli nyingi sana kama kutembea kwa muda mrefu ili kufika sehemu wanazotaka jambo ambalo lililkuwa likiwasaidia kujifungua salama.